![]() |
Obama in Dar-es-salaam {Mmoja wa wana Obama Fitness Club wakati akipokea kikombe cha Urafiki walichotunukiwa na Dar Jogging} |
Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyoambukiza {NCD unit} ambae ni Mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa Obam uliofanyika Zanzibar akiwa anatoa nasaha zake
"URAFIKI WA KWELI"{Dar Jogging na Obama}
Mwana Obama katika upandaji miti uliofanyika Cheju-Zanzibar.
wana Obama Oyeee!!!!!!!!!
Ziara ya upandaji wa miti ya wana Obama {Cheju,Zanzibar}
Katibu wa jumuiya ya watu wanaoishi na Kisukari Zanzibar {MH:Ali Zubeir Juma} akiwa anatoa nasaha zake kwa wana Obama huko Zanzibar
Mwenyekiti wa Obama akitoa maelezo mafupi kuhusiana na Kikundi chao pamoja na kumkaribisha mgeni Rasmi
couch Shaabani ambae ni katibu wa Tume uchaguzi ya Obama Fitness Club akitoa maelekezo kwa wana Obama juu ya shughuli za upigaji kura mapema kabla ya uchaguzi wao mkuu uliofanyika mwezi wa April 6/2014
Makamo wa Kwanza wa Rais akizinduwa shughuli za upandaji wa miti huko Cheju Zanzibar ulioandaliwa na Idara ya misitu Zanzibar
Wana Obama wakiwa wanaskiliza nasaha za katibu wa DAZ
No comments:
Post a Comment