Sunday, May 25, 2014

Wana Obama ndani ya uzinduzi wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza (Z-NCD Alliance).
Mh:Omar mwalim Meneja wa kitengo cha maradhi yasiyoambukiza (NCD Unit) akiwa na Bi:Zuhura Saleh

Shughuli ilikua hivi kwa upande wa Madam Susanne Volqvartz ambae ni mfadhiliwa ZNCD Allaince
Charlotte Rullfs Klause (Danish diabetics association).
Wafadhili wa Z-NCDA wakiwa na valontia wa Z-NCDA.
Wana-Obama moto!!!
Mwenyekiti wa Obama Fitness Club Dk.Mwana Omar Issa.
"Kuwa na matumaini mazuri ya maisha kwa kujenga afya yako" (Z-NCD Alliance).
Mazoezi ya pamoja yaliyohudhuriwa na vikundi tofauti kutoka Zanzibar yaliyofanyika ndani ya uzinduzi wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) yaliyofanyika uwanja wa Kibanda maiti,Zanzibar.

No comments:

Post a Comment