Sunday, May 25, 2014

Wana Kidike na Obama ndani ya mazoezi ya pamoja (Gombani) Chake chake,Pemba.

Ziara za uhamasishaji ndani ya Pwani mchangani,Zanzibar.
Obama ndani ya bonanza lililofanyika uwanja wa Amani,Zanzibar.
Timu ya mpira wa miguu ya Obama (Obama football team).
Katibu wa Dar jogg akizungumza na wanachama wake huko jijini Dar-es-salaam
Dar Jogging,Obama fitness club ni Umoja na mshikamano!!!
Wana Obama ndani ya uzinduzi wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza (Z-NCD Alliance).
Mh:Omar mwalim Meneja wa kitengo cha maradhi yasiyoambukiza (NCD Unit) akiwa na Bi:Zuhura Saleh

Shughuli ilikua hivi kwa upande wa Madam Susanne Volqvartz ambae ni mfadhiliwa ZNCD Allaince
Charlotte Rullfs Klause (Danish diabetics association).
Wafadhili wa Z-NCDA wakiwa na valontia wa Z-NCDA.
Wana-Obama moto!!!
Mwenyekiti wa Obama Fitness Club Dk.Mwana Omar Issa.
"Kuwa na matumaini mazuri ya maisha kwa kujenga afya yako" (Z-NCD Alliance).
Mazoezi ya pamoja yaliyohudhuriwa na vikundi tofauti kutoka Zanzibar yaliyofanyika ndani ya uzinduzi wa Jumuiya ya maradhi yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) yaliyofanyika uwanja wa Kibanda maiti,Zanzibar.

Sunday, May 4, 2014

Obama in Dar-es-salaam
 {Mmoja wa wana Obama Fitness Club wakati akipokea kikombe cha Urafiki walichotunukiwa na Dar Jogging}

     Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyoambukiza {NCD unit} ambae ni Mgeni rasmi katika mkutano mkuu wa Obam  uliofanyika Zanzibar akiwa anatoa nasaha zake
 


 
                                                   "URAFIKI WA KWELI"{Dar Jogging na Obama}

               Mwana Obama katika upandaji miti uliofanyika Cheju-Zanzibar.
                                                                 wana Obama Oyeee!!!!!!!!!
                           Ziara ya upandaji wa miti ya wana Obama {Cheju,Zanzibar}
Katibu wa jumuiya ya watu wanaoishi na Kisukari Zanzibar {MH:Ali Zubeir Juma} akiwa anatoa nasaha zake kwa wana Obama huko Zanzibar
Mwenyekiti wa Obama akitoa maelezo mafupi kuhusiana na Kikundi chao pamoja na kumkaribisha mgeni Rasmi
couch Shaabani ambae ni katibu wa Tume uchaguzi ya Obama Fitness Club  akitoa maelekezo kwa wana Obama juu ya shughuli za upigaji kura mapema kabla ya uchaguzi wao mkuu uliofanyika mwezi wa April 6/2014
Makamo wa Kwanza wa Rais akizinduwa shughuli za upandaji wa miti huko Cheju Zanzibar ulioandaliwa na Idara ya misitu Zanzibar
Wana Obama wakiwa wanaskiliza nasaha za katibu wa DAZ

Obama in Chake chake Pemba

 
On the picture above is the members of DAZ.